sw_tn/2co/04/intro.md

1.5 KiB

2 Wakorintho 04 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Sura hii inaanza na neno "kwa hiyo." Neno hili linaunganisha na neno lililofundishwa katika sura ya awali. Jinsi sura hizi zinagawanyika inaweza kumchanganya msomaji.

Dhana maalum katika sura hii

Huduma

Paulo anawahudumia watu kwa kuwaambia kuhusu Kristo. Yeye hajaribu kuwadanganya watu kuamini. Ikiwa hawaelewi injili, ni kwa sababu tatizo ni la kiroho. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit)

Mifanu muhimu ya matamshi katika sura hii

Mwanga na giza

Biblia mara nyingi inazungumza juu ya watu wasio na haki, watu ambao hawana fadhili za Mungu, kama wanaozunguka gizani. Inazungumzia mwanga ni kama inawawezesha watu wenye dhambi kuwa waadilifu, kuelewa kile wanachokosea na kuanza kumtii Mungu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)

Maisha na kifo

Paulo hataji hapa maisha ya kimwili na kifo ya kimwili. Maisha inawakilisha maisha mapya Mkristo aliyo nayo katika Yesu. Kifo kinawakilisha njia ya zamani ya kuishi kabla ya kumwamini Yesu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/life]] and rc://en/tw/dict/bible/other/death and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Matumaini

Paulo anarudia katika mawazo kwa namuna ya kimakusudi. Anatoa taarifa. Kisha anatoa maneno yanayoonekana kuwa kukataa au kupinga au kutoa utofauti. Haya yote pamoja yanampa msomaji tumaini katika hali ngumu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/hope)

<< | >>