sw_tn/2co/04/intro.md

33 lines
1.5 KiB
Markdown

# 2 Wakorintho 04 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Sura hii inaanza na neno "kwa hiyo." Neno hili linaunganisha na neno lililofundishwa katika sura ya awali. Jinsi sura hizi zinagawanyika inaweza kumchanganya msomaji.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Huduma
Paulo anawahudumia watu kwa kuwaambia kuhusu Kristo. Yeye hajaribu kuwadanganya watu kuamini. Ikiwa hawaelewi injili, ni kwa sababu tatizo ni la kiroho. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit)
### Mifanu muhimu ya matamshi katika sura hii
#### Mwanga na giza
Biblia mara nyingi inazungumza juu ya watu wasio na haki, watu ambao hawana fadhili za Mungu, kama wanaozunguka gizani. Inazungumzia mwanga ni kama inawawezesha watu wenye dhambi kuwa waadilifu, kuelewa kile wanachokosea na kuanza kumtii Mungu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)
#### Maisha na kifo
Paulo hataji hapa maisha ya kimwili na kifo ya kimwili. Maisha inawakilisha maisha mapya Mkristo aliyo nayo katika Yesu. Kifo kinawakilisha njia ya zamani ya kuishi kabla ya kumwamini Yesu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/life]] and [[rc://en/tw/dict/bible/other/death]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/faith)
### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
#### Matumaini
Paulo anarudia katika mawazo kwa namuna ya kimakusudi. Anatoa taarifa. Kisha anatoa maneno yanayoonekana kuwa kukataa au kupinga au kutoa utofauti. Haya yote pamoja yanampa msomaji tumaini katika hali ngumu. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/hope)
## Links:
* __[2 Corinthians 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | [>>](../05/intro.md)__