sw_tn/2co/03/intro.md

1.3 KiB

2 Wakorintho 03 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Paulo anaendelea kujitetea. Paulo anaona Wakristo wa Korintho kama ushahidi wa kazi yake.

Dhana maalum katika sura hii

Sheria ya Musa

Paulo anakumbuka wakati Mungu alitoa amri kumi juu ya vibao vya mawe. Hii inawakilisha sheria ya Musa. Sheria ilikuwa nzuri kwa sababu ilitoka kwa Mungu. Lakini Mungu aliwaadhibu Waisraeli kwa sababu hawakuitii. Sura hii inaweza kuwa vigumu kwa watafsiri kuelewa ikiwa Agano la Kale bado halijatafsiriwa. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]] and rc://en/tw/dict/bible/kt/covenant and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal)

Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii

Mifano

Paulo anatumia mifano nyingi katika sura hii kuelezea kweli ngumu za kirorho. Haijulikani kama hii inafanya mafundisho ya Paulo rahisi au vigumu zaidi kuelewa. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Hili ni agano sio la andiko bali la Roho."

Paulo anatofautisha agano la kale na agano jipya. Agano jipya sio mfumo wa sheria na kanuni. Hapa "Roho" labda inamaanisha Roho Mtakatifu. Inaweza pia kuelezea asili ya agano jipya kuwa ya kiroho.(See: rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit)

<< | >>