sw_tn/2co/02/intro.md

798 B

2 Wakorintho 02 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum

Uandishi wa hasira

Katika sura hii, Paulo anaelezea barua aliyowaandikia Wakorintho hapo awali. Barua hiyo ilikuwa na sauti kali na ya kurekebisha. Paulo labda aliandika barua hiyo baada ya barua inayojulikana kama Wakorintho wa Kwanza na kabla ya barua hii. Anasema kuwa kanisa lilipaswa kumkemea mwanachama mkosaji. Paulo sasa anawahimiza kuwa na neema kwa mtu huyo. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/grace]] and [[rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Harufu

Harufu nzuri inapendeza. Maandiko mara nyingi hueleza mambo ambayo yanampendeza Mungu kama kuwa na harufu nzuri.

<< | >>