sw_tn/2co/02/01.md

779 B

Sentensi unganishi

Kwa sababu ya pendo kuu kwa ajili yao, Paulo anaweka wazi kwamba hilo onyo lake katika barua yake ya kwanza kwao(onyo la kukiri dhambi ya uzinzi) ilimsababishia yeye maumivu kama yalivyo maumivu kwa watu wa kanisa katika Korintho na watu wasio na maadili.

Niliamua kwa upande wangu

"Nilifanya uamuzi"

kama niliwasababisha maumivu, ni nani atakayenifurahisha isipokuwa yule niliye muumiza?

Paulo anatumia swali hili la kujihoji kusisitiza kuwa siyo yeye au wao wangenufaika kama kuja kwake kwao kungewasababishia maumivu. " Kama niliwasababishia maumivu , mmoja pekee ambaye angenifurahisha angekuwa ni yule ambaye ambaye aliumizwa nami"

Mmoja pekee aliyeumizwa nami

Hii inaweza kufafanuliwa katika kauli tendaji "yule ambaye aliumizwa nami"