sw_tn/1th/05/intro.md

682 B

1 Wathesalonike 05 Maelezo kwa ujumla

Muundo na Mpangilio

Paulo anamalizia barua yake kama barua za kawaida nyakati za kale kule Mashariki Ya Karibu.

Dhana Muhimu katika sura hii

Siku ya bwana

Wakati kamili wa ujio wa siku ya Bwana itakuwa ni kwa ghafla pasipotarajiwa. Hii ndiyo maana ya "kama mwizi usiku". Kwa sababu hii, Wakristo waishi wakijiandaaa kurudi kwa Bwana. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/dayofthelord and rc://en/ta/man/translate/figs-simile)

"Kukata kiu ya Kiroho"

Hii ina maana ya kutojali ama kufanya kinyume na mwongozo na kazi ya Roho Mtakatifu.

__<< | __