forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
682 B
Markdown
21 lines
682 B
Markdown
# 1 Wathesalonike 05 Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
### Muundo na Mpangilio
|
|
|
|
Paulo anamalizia barua yake kama barua za kawaida nyakati za kale kule Mashariki Ya Karibu.
|
|
|
|
### Dhana Muhimu katika sura hii
|
|
|
|
#### Siku ya bwana
|
|
|
|
Wakati kamili wa ujio wa siku ya Bwana itakuwa ni kwa ghafla pasipotarajiwa. Hii ndiyo maana ya "kama mwizi usiku". Kwa sababu hii, Wakristo waishi wakijiandaaa kurudi kwa Bwana. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/dayofthelord and rc://en/ta/man/translate/figs-simile)
|
|
|
|
#### "Kukata kiu ya Kiroho"
|
|
|
|
Hii ina maana ya kutojali ama kufanya kinyume na mwongozo na kazi ya Roho Mtakatifu.
|
|
|
|
## Links:
|
|
|
|
* __[1 Thessalonians 05:01 Notes](./01.md)__
|
|
|
|
__[<<](../04/intro.md) | __ |