# 1 Wathesalonike 05 Maelezo kwa ujumla ### Muundo na Mpangilio Paulo anamalizia barua yake kama barua za kawaida nyakati za kale kule Mashariki Ya Karibu. ### Dhana Muhimu katika sura hii #### Siku ya bwana Wakati kamili wa ujio wa siku ya Bwana itakuwa ni kwa ghafla pasipotarajiwa. Hii ndiyo maana ya "kama mwizi usiku". Kwa sababu hii, Wakristo waishi wakijiandaaa kurudi kwa Bwana. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/dayofthelord and rc://en/ta/man/translate/figs-simile) #### "Kukata kiu ya Kiroho" Hii ina maana ya kutojali ama kufanya kinyume na mwongozo na kazi ya Roho Mtakatifu. ## Links: * __[1 Thessalonians 05:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../04/intro.md) | __