sw_tn/1co/11/intro.md

1.8 KiB

1 Wakorintho 11 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Huu ni mwanzo wa sehemu mpya wa barua (Sura za 11-14). Paulo sasa anazungumza kuhusu huduma nzuri za kanisa. Katika sura hii, anahusisha matatizo mawili tofauti: wanawake katika huduma za kanisa (mistari ya 1-16) na Meza ya Bwana (mistari ya 17-34).

Dhana maalum katika sura hii

Mazoezi mema katika huduma ya kanisa

Wanawake wasio na adabu

Maagizo ya Paulo hapa yanajadiliwa na wasomi. Labda kulikuwa wanawake ambao walikuwa wakitumia uhuru wao wa Kikristo vibaya a kuleta fujo ndani ya kanisa sababu hawakukuwa na adabu ya kawaida. Fujo kutokana na vitendo vyao vilimfanya awe na wasiwasi.

Meza ya Bwana

Kulikuwa na matatizo katika Wakorintho kwa jinsi walikula Meza ya Bwana. Hawakutenda kwa umoja. katika Wakorintho kwa jinsi walikula Meza ya Bwana, baadhi yao walikula chakula chao wenyewe bila kushirikiana. Baadhi yao walilewa wakati watu masikini walipokuwa na njaa. Paulo alifundisha kwamba waumini wanadharau kifo cha Kristo kama wanakula Meza ya Bwana na kufanya dhambi au wakati wanavunja ushirika na wenzao. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/reconcile)

Mifanyo ya muhimu za matamshi katika sura hii

Maswali ya uhuishaji

Paulo hutumia maswali ya uhuishaji ili kuwakaripia watu kwa kutofuata kwao sheria za ibada aliyopendekeza. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion)

Kichwa

Paulo anatumia "kichwa" kama kielelezo cha mamlaka katika mstari wa 3 na pia kutaja kichwa halisi cha mtu katika mstari wa 4 na kuendelea. Kwa kuwa hayo ni ya karibu sana, inawezekana kwamba Paulo alitumia "kichwa" kwa makusudi kwa njia hii. Hii inaonyesha kwamba mawazo katika aya hizi ziliunganishwa. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metonymy)

<< | >>