sw_tn/1co/12/intro.md

1.1 KiB

1 Wakorintho 12 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Vipaji vya Roho Mtakatifu

Sura hii inaanza sehemu mpya. Sura za 12-14 zinajadili vipaji vya kiroho ndani ya kanisa.

Dhana maalum katika sura hii

Kanisa, mwili wa Kristo

Hii ni mfano muhimu katika Maandiko. Kanisa lina sehemu nyingi. Kila sehemu ina kazi tofauti. Zinakusanywa kuunda kanisa moja. Sehemu zote tofauti ni muhimu. Kila sehemu inapaswa kujali sehemu nyingine zote, hata zile zinazoonekana kutokuwa muhimu. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Hakuna mtu anayeweza kusema, 'Yesu ni Bwana,' isipokuwa kwa Roho Mtakatifu."

Katika kusoma Agano la Kale, Wayahudi wangeweza kubadilisha neno "Bwana" kwa neno "Yahweh." Sentensi hii ina maana kwamba hakuna mtu anayeweza kusema kuwa Yesu ndiye Bwana, Mungu katika mwili, bila uwezo wa Roho Mtakatifu kuwavuta kukubali ukweli huu. Ikiwa neno hili limetafsiriwa vibaya, linaweza kuwa na madhara ya kitheolojia yasiyotarajiwa.

<< | >>