sw_tn/mat/26/55.md

20 lines
477 B
Markdown

# Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kama mnyang'anyi?
"Mnajua kwamba mimi siyo mnyang'anyi, hivyo ni makosa yenu kuniijia mkiwa na mapanga na marungu.
# Marungu.
Vipande vikubwa vya miti migumu kwa ajili ya kupigia watu.hekaluni
# hekaluni
Inaoneshakuwa Yesu hakuwa hekaluni. alikuwa kwenye korido la hekalu
# ili maandiko ya manabii yatimie
"napenda kutimiza kile ambacho manabii waliandika kwenye maandiko"
# Kumuacha.
Kujitenga naye au walijitenga naye.