# Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kama mnyang'anyi? "Mnajua kwamba mimi siyo mnyang'anyi, hivyo ni makosa yenu kuniijia mkiwa na mapanga na marungu. # Marungu. Vipande vikubwa vya miti migumu kwa ajili ya kupigia watu.hekaluni # hekaluni Inaoneshakuwa Yesu hakuwa hekaluni. alikuwa kwenye korido la hekalu # ili maandiko ya manabii yatimie "napenda kutimiza kile ambacho manabii waliandika kwenye maandiko" # Kumuacha. Kujitenga naye au walijitenga naye.