sw_tn/jas/04/intro.md

1.1 KiB

Yakobo 04 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Uzinzi

Wandishi katika Bibilia huzungumzia mara nyingi uzinzi kama mfano kwa watu wanaosema wanampenda Mungu lakini wanatenda mambo Mungu huchukia. (Tazama: [[rc:///ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/godly]])

Sheria

Kuna uwezekano Yakobo analitumia neno hili katika Yakobo 4:11 kumaanisha "sheria ya kifalme" (Yakobo 2:8) na siyo sheria ya Musa(Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Maswali ya kana

Yakobo anauliza maswali mengi kwa sababu anataka wasomaji wake wafikirie jinsi wanavyoishi. Anataka kuwarekebisha na kuwafudisha. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion)

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

Nyenyekevu

Kuna uwezekano neno hili hutumika kumaanisha watu wasiyo na majivuno. Yakobo analitumia neno hili kuashiria watu wasiyokuwa na majivuno na wanaoeza kumtumainia Yesu na kumtii.

<< | >>