# Yakobo 04 Maelezo kwa jumla ## Dhana muhimu katika sura hii ### Uzinzi Wandishi katika Bibilia huzungumzia mara nyingi uzinzi kama mfano kwa watu wanaosema wanampenda Mungu lakini wanatenda mambo Mungu huchukia. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/godly]]) ### Sheria Kuna uwezekano Yakobo analitumia neno hili katika Yakobo 4:11 kumaanisha "sheria ya kifalme" (Yakobo 2:8) na siyo sheria ya Musa(Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]]) ## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii ### Maswali ya kana Yakobo anauliza maswali mengi kwa sababu anataka wasomaji wake wafikirie jinsi wanavyoishi. Anataka kuwarekebisha na kuwafudisha. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion]]) ## Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii ### Nyenyekevu Kuna uwezekano neno hili hutumika kumaanisha watu wasiyo na majivuno. Yakobo analitumia neno hili kuashiria watu wasiyokuwa na majivuno na wanaoeza kumtumainia Yesu na kumtii. ## Links: * __[James 04:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../03/intro.md) | [>>](../05/intro.md)__