Wandishi katika Bibilia huzungumzia mara nyingi uzinzi kama mfano kwa watu wanaosema wanampenda Mungu lakini wanatenda mambo Mungu huchukia. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/godly]])
Kuna uwezekano Yakobo analitumia neno hili katika Yakobo 4:11 kumaanisha "sheria ya kifalme" (Yakobo 2:8) na siyo sheria ya Musa(Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
Yakobo anauliza maswali mengi kwa sababu anataka wasomaji wake wafikirie jinsi wanavyoishi. Anataka kuwarekebisha na kuwafudisha. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion]])
Kuna uwezekano neno hili hutumika kumaanisha watu wasiyo na majivuno. Yakobo analitumia neno hili kuashiria watu wasiyokuwa na majivuno na wanaoeza kumtumainia Yesu na kumtii.