sw_tn/jas/03/intro.md

375 B

Yakobo 03 Maelezo kwa jumla

Mifano muhimu katika sura hii

Mifano

Yakobo anawafundisha wasomaji wake kwamba waishi kumpendeza Mungu kwa kuwakumbusha kuhusu mambo wanayofahamu ya kawaida katika maisha ya kila siku. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

<< | >>