sw_tn/jas/02/intro.md

1.7 KiB

Yakobo 02 Maelezo ya Jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Mapendeleo

Wasomaji wengine wa Yakobo waliwatendea matajiri na wenye uwezo mazuri na kuwatendea maskini vibaya. Haya ndiyo mapendeleo na Yakobo anawaambia kwamba hii ni mbaya. Mungu anataka maskini kwa matajiri watendewe wema.

Kuhesabiwa haki

Kuhesabiwa haki ni kile hufanyika wakati Mungu anamfanya mtu kuwa mwenye haki.Yakobo anasema Mungu huwafanya wenye haki ama huwahesabu wenye haki watu ambao imani yao huendana na matendo mazuri. (tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/justice]] na [[rc:///tw/dict/bible/kt/righteous]] and rc://*/tw/dict/bible/kt/faith)

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

Alama za nukuu

Maneno "Nionyeshe imani yako bila matendo na nitakuonyesha imani yangu kwa matendo" ni magumu kuelewa. Watu wengine hufikiri ni yale "wengine wagesema" kama maneno yaliyo na alama za nukuu. Matoleo mengi huyatafsiri kama maneno Yakobo anamwelezea "mtu huyo".

"Wewe una..." "Mimi nina..."

Watu wengine hufikiria kwamba maneno "wewe" na "mimi" yametumiwa kumaanisha "baathi ya watu" na "waatu wengine". Iwapo ni sahihi mstari wa 18 unaweza tafsiriwa , "Watu wengine wanaweza sema, "Watu wengine wana imani na baadhi ya watu wana matendo, siyo watu wote wana zote."Iwapo sentensi ifuatayo pia ni yenye watu wangesema," inaweza tafsiriwa "Baadhi ya Watu wanaonyesha imani yao bila matendo na watu wengine wanaonyesha imani yao kwa matendo. Wote wana imani." Katika hali zote mbili, msomaji ataelewa tu ukiongezea sentensi ya ziada. Ni vyema kutafsiri jinsi ULB hufanya. (Tazama: [[rc:///ta/man/translate/figs-metonymy]] and [[rc:///ta/man/translate/figs-explicit]])

<< | >>