sw_tn/jas/01/intro.md

1.4 KiB

Yakobo 01 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Majaribio na vishawishi

Maneno haya mawili yanatokea pamoja katika (Yakobo: 1:12-13) Maneno yote "yanasema juu ya mtu anayeweza kuchagua kutenda mazuri na kutenda mabaya. Tofauti yao ni muhimu. Mungu anamjaribu mtu na anahitaji atende mema. Shetani anamshawishi mtu huyo na anataka atende maovu.

Mataji

Taji ambalo mtu hupewa baada ya kuyashinda majaribio ni tuzo. Hiki ni kitu amabaco watu wafanyacho kitu kizuri hupokea. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/other/reward)

Mifano muhimu za usemi katika sura hii

MIfano

Yakobo anatumia mifano nyingi na "unastahili kuelewa maswala yaliyo kwenye rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor kabla ya kuzitafsiri vizuri.

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

"Kwa Makabila kumi na mbili yaliyotawanyika"

Haikuwa wazi kama Yakobo aliwaandikia wa nani katika barua hii.Anajiita mwenyewe kama mtumishi wa Bwana Yesu Kristo, na kwa hivyo kuna uwezekano alikuwa akiwaandikia Wakristo. Lakini anawaita wasomaji wake "Makabila kumi na mbili yaliyotawanyika", maneno yatumikayo kuashiria Wayahudi. Kuna uwezekano ametumia maneno hayo kama mfano ya "wengi ambao Mungu amewachagua" ama aliandika barua hii wakati Wakristo wote walikuwa wamekomaa kama Wayahudi.

| >>