sw_tn/isa/01/09.md

20 lines
514 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza na watu wa Yuda katika mtindo wa shairi.
# Kama Yahwe
Hii inaelezea jambo amabalo lingeweza kutokea zamani lakini halikutokea.
# mabaki wachache
"waliokoka wachache"
# ametuachia ... tungekuwa
Hapa maneno haya yana maana ya Isaya na yanajumuisha watu wote wa Yuda na Yerusalemu.
# tungekuwa kama Sodoma, tungekuwa kama Gomora
Jinsi ambavyo Yuda angekuwa kama Sodoma na Gomora inaweza kufanywa wazi. "Mungu angetuangamiza, kama alivyoangamiza miji ya Sodoma na Gomora"