# Taarifa ya Jumla Isaya anazungumza na watu wa Yuda katika mtindo wa shairi. # Kama Yahwe Hii inaelezea jambo amabalo lingeweza kutokea zamani lakini halikutokea. # mabaki wachache "waliokoka wachache" # ametuachia ... tungekuwa Hapa maneno haya yana maana ya Isaya na yanajumuisha watu wote wa Yuda na Yerusalemu. # tungekuwa kama Sodoma, tungekuwa kama Gomora Jinsi ambavyo Yuda angekuwa kama Sodoma na Gomora inaweza kufanywa wazi. "Mungu angetuangamiza, kama alivyoangamiza miji ya Sodoma na Gomora"