sw_tn/heb/06/intro.md

390 B

Waebrania 06 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu kwa sura hii

Agano la Kiabrahamu

Katika agano Mungu alifanya na Abrahamu, Mungu aliahidi kuwafanya uzao wake kuwa taifa kubwa. Aliahidi pia kuwakinga uzao wa Abrahamu na kuwapa ardhi yao. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant)

<< | >>