sw_tn/heb/05/intro.md

1.0 KiB

Waebrania 05 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Sura hii inaendeleza mafundisho ya sura iliyopita.

Watafsiri wengine wametenga kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 5:5-6.

Dhana muhimu katika sura hii

Kuhani mkuu

Ni kuhani mkuu tu angetoa dhabihu ili Mungu asamehe dhambi na kwa hivyo lazima Yesu alikuwa kuhani Mkuu. Sheria ya Musa iliamuru kwamba kuhani mkuu atoke kwa kabila la Walawi lakini Yesu alitoka kabila la Yuda.Mungu alimfanya kuhani kama Melikizedeki aliyeishi nyakati za Abarahamu kabla ya kuwepo kabila la Walawi.

Mifano muhimu za usemi katika hi sura

Maziwa na chakula kigumu

Mwandishi anazungumzia Wakristo ambao wako tu na uwezo wa kuelewa vitu rahisi kumhusu Yesu kana kwamba walikuwa watoto wachanga wanaokunywa tu maziwa na hawawezi kulaa chakula kigumu. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

<< | >>