sw_tn/heb/05/intro.md

26 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Waebrania 05 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Sura hii inaendeleza mafundisho ya sura iliyopita.
Watafsiri wengine wametenga kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 5:5-6.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kuhani mkuu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Ni kuhani mkuu tu angetoa dhabihu ili Mungu asamehe dhambi na kwa hivyo lazima Yesu alikuwa kuhani Mkuu. Sheria ya Musa iliamuru kwamba kuhani mkuu atoke kwa kabila la Walawi lakini Yesu alitoka kabila la Yuda.Mungu alimfanya kuhani kama Melikizedeki aliyeishi nyakati za Abarahamu kabla ya kuwepo kabila la Walawi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu za usemi katika hi sura
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Maziwa na chakula kigumu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Mwandishi anazungumzia Wakristo ambao wako tu na uwezo wa kuelewa vitu rahisi kumhusu Yesu kana kwamba walikuwa watoto wachanga wanaokunywa tu maziwa na hawawezi kulaa chakula kigumu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Hebrews 05:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__