sw_tn/heb/06/intro.md

14 lines
390 B
Markdown

# Waebrania 06 Maelezo kwa jumla
## Dhana muhimu kwa sura hii
### Agano la Kiabrahamu
Katika agano Mungu alifanya na Abrahamu, Mungu aliahidi kuwafanya uzao wake kuwa taifa kubwa. Aliahidi pia kuwakinga uzao wa Abrahamu na kuwapa ardhi yao. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant]])
## Links:
* __[Hebrews 06:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../05/intro.md) | [>>](../07/intro.md)__