# Waebrania 06 Maelezo kwa jumla ## Dhana muhimu kwa sura hii ### Agano la Kiabrahamu Katika agano Mungu alifanya na Abrahamu, Mungu aliahidi kuwafanya uzao wake kuwa taifa kubwa. Aliahidi pia kuwakinga uzao wa Abrahamu na kuwapa ardhi yao. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant]]) ## Links: * __[Hebrews 06:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../05/intro.md) | [>>](../07/intro.md)__