sw_tn/eph/06/intro.md

690 B

Waefeso 06 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Utumwa

Paulo hajaandika katika sura hii ikiwa utumwa ni nzuri au mbaya. Paulo anafundisha kuhusu kufanya kazi ili kumpendeza Mungu ukiwa mtumwa au bwana. Anachofundisha Paulo hapa juu ya utumwa kingekuwa cha kushangaza. Katika wakati wake, mabwana hawakutarajiwa kuwaheshimu watumwa wao na kutowatisha.

Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii

Silaha za Mungu

Mfano hii inaelezea jinsi Wakristo wanaweza kujikinga wakati wanavamiwa kiroho. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc:///ta/man/translate/figs-metaphor]])

__<< | __