sw_tn/eph/06/intro.md

20 lines
690 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Waefeso 06 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Utumwa
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Paulo hajaandika katika sura hii ikiwa utumwa ni nzuri au mbaya. Paulo anafundisha kuhusu kufanya kazi ili kumpendeza Mungu ukiwa mtumwa au bwana. Anachofundisha Paulo hapa juu ya utumwa kingekuwa cha kushangaza. Katika wakati wake, mabwana hawakutarajiwa kuwaheshimu watumwa wao na kutowatisha.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Silaha za Mungu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Mfano hii inaelezea jinsi Wakristo wanaweza kujikinga wakati wanavamiwa kiroho. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Ephesians 06:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../05/intro.md) | __