# Waefeso 06 Maelezo ya Jumla ## Dhana maalum katika sura hii ### Utumwa Paulo hajaandika katika sura hii ikiwa utumwa ni nzuri au mbaya. Paulo anafundisha kuhusu kufanya kazi ili kumpendeza Mungu ukiwa mtumwa au bwana. Anachofundisha Paulo hapa juu ya utumwa kingekuwa cha kushangaza. Katika wakati wake, mabwana hawakutarajiwa kuwaheshimu watumwa wao na kutowatisha. ## Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii ### Silaha za Mungu Mfano hii inaelezea jinsi Wakristo wanaweza kujikinga wakati wanavamiwa kiroho. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]]) ## Links: * __[Ephesians 06:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../05/intro.md) | __