sw_tn/col/03/intro.md

1.1 KiB

Wakolosai 03 Maelezo kwa Ujumla

Muundo na Mpangilio

Sehemu ya pili ya sura hii inafanana na Waefeso 5 na 6.

Maswala muhimu katika sura hii

Nafsi ya kale na nafsi mpya

Nafsi ya kale na nafsi mpya inamaanisha mtu wa kale na mtu mpya. Neno "Mtu wa kale" humaanisha asili ya dhambi ambayo mtu huzaliwa nayo. "Mtu mpya" ni asili mpya ama maisha mapya ambayo Mungu humpa mtu baada ya kuanza kumwamini Kristu. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/faith]])

Sehemu zingine zenye utata katika tafsiri ya "sura hii

Tabia

Maswala mengi Paulo anawahimiza wasomaji wake kufuata ama kuacha siyo matendo bali ni tabia. Kwa sababu ya hii, ni ngumu kutafsiri. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-abstractnouns)

"Vitu vilivyo juu"

Makazi ya Mungu mara nyingi huashiriwa kama "juu." Paulo anasema "Tafuta vitu vilivyo juu" na "fikiria kuhusu vitu vilivyo juu." Hapa anamaanisha Wakristo watafute vitu vya umungu na mbinguni.

<< | >>