sw_tn/col/04/intro.md

874 B

Wakolosai 04 Maelezo kwa ujumla

Muundo na Mpangilio

Wakolosai 4:1 inaonekana kuambatana na sura ya 3 badala ya 4

Maswala Muhimu kwa sura hii

"Kwa mkono wangu mwenyewe"

Ilikuwa kawaida kwa mwandishi wa kale katika inchi za Mashariki ya Karibu kuzungumza na mtu mwingine anaandika chini yanayozungumzwa. Barua nyingi za Agano jipya ziliandikwa namna hivi.Paulo aliandika mwenyewe salamu za mwisho.

Sehemu zingine zenye utata katika tafsiri ya sura hii

Ukweli wa siri

Paulo anaashiria ukweli wa siri katika sura hii. Jukumu la kanisa katika mipango ya Mungu halikujulikana hapo mwanzo. Lakini sasa Mungu amelitambulisha. Moja ya hii siri inahusisha watu wa Mataifa kuwa na nafasi sawa na Wayahudi katika mipango ya Mungu. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/reveal).

__<< | __