sw_tn/col/04/intro.md

24 lines
874 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Wakolosai 04 Maelezo kwa ujumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na Mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Wakolosai 4:1 inaonekana kuambatana na sura ya 3 badala ya 4
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Maswala Muhimu kwa sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Kwa mkono wangu mwenyewe"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Ilikuwa kawaida kwa mwandishi wa kale katika inchi za Mashariki ya Karibu kuzungumza na mtu mwingine anaandika chini yanayozungumzwa. Barua nyingi za Agano jipya ziliandikwa namna hivi.Paulo aliandika mwenyewe salamu za mwisho.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Sehemu zingine zenye utata katika tafsiri ya sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Ukweli wa siri
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anaashiria ukweli wa siri katika sura hii. Jukumu la kanisa katika mipango ya Mungu halikujulikana hapo mwanzo. Lakini sasa Mungu amelitambulisha. Moja ya hii siri inahusisha watu wa Mataifa kuwa na nafasi sawa na Wayahudi katika mipango ya Mungu. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/reveal]]).
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Colossians 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | __