sw_tn/psa/057/002.md

12 lines
501 B
Markdown

# anayefanya vitu hivi vyote kwa ajili yangu
Hii inaeleza kwa nini atalia kwa Mungu. "kwa sababu hufanya vitu vyote kwa ajili yangu"
# wale wanao niponda
Mashambulizi makali ya adui yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa wakikandamiza mwili wake kwa kutembea juu yake. "wale wanaonishambulia kwa ukali"
# Mungu atanitumia upendo wake wa huruma na uaminifu wake
Huruma na uaminifu wa Mungu unazungumziwa kana kwamba anatuma huruma yake na uaminifu wake. "Mungu atakuwa na huruma kwangu na mwaminifu"