# anayefanya vitu hivi vyote kwa ajili yangu Hii inaeleza kwa nini atalia kwa Mungu. "kwa sababu hufanya vitu vyote kwa ajili yangu" # wale wanao niponda Mashambulizi makali ya adui yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa wakikandamiza mwili wake kwa kutembea juu yake. "wale wanaonishambulia kwa ukali" # Mungu atanitumia upendo wake wa huruma na uaminifu wake Huruma na uaminifu wa Mungu unazungumziwa kana kwamba anatuma huruma yake na uaminifu wake. "Mungu atakuwa na huruma kwangu na mwaminifu"