sw_tn/mrk/16/12.md

13 lines
319 B
Markdown

# akajitokeza katika namna tofauti
Yesu alikuwa ni mtu ambaye "wale wawili" waliona, lakini walichokiona hakikuonekana kama Yesu, kwa hiyo hawakujua walikuwa wakimtazama Yesu
# wengine wawili
wawili "wale walikuwa naye"
# hawakuwaamini
Wanafunzi wengine hawakuwaamini wale wawili walikuwa wakitembea walichosema.