# akajitokeza katika namna tofauti Yesu alikuwa ni mtu ambaye "wale wawili" waliona, lakini walichokiona hakikuonekana kama Yesu, kwa hiyo hawakujua walikuwa wakimtazama Yesu # wengine wawili wawili "wale walikuwa naye" # hawakuwaamini Wanafunzi wengine hawakuwaamini wale wawili walikuwa wakitembea walichosema.