forked from WA-Catalog/sw_tn
695 B
695 B
Ni kweli wananikasirisha ... wananikasirisha
"kweli wananisumbua ... wananisumbua"
Ni kweli wananikasirisha mimi?
"Ni kweli hawanisumbui?
Je, si wao wanaojikasirisha? ... ili kwamba aibu iwe juu yao?
"Wanajitaabisha wenyewe kwatabia zao za aibu"
Tazama
Neno hili linavuta usikivu kwa kile kinachofuata. "Sikiliza kwa makini kwa sababu hili ni la muhimu
hasira na ghadhabu zangu zitamwagwa mahali hapa
"Nitawadhibu watu wa mahali hapa."
Hasira na ghadhabu
Maneno haya yana maana moja. Yametumika kusisitiza ukali wa hasira yake
itawaka
kiwakilishi "i" kietumika kuonesha hasira za BWANA."
nayo haitazimishwa
"haitazuiliwa kuwaka" au "sitazuiliwa kuwa na hasira"