sw_tn/jer/07/19.md

33 lines
695 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni kweli wananikasirisha ... wananikasirisha
"kweli wananisumbua ... wananisumbua"
# Ni kweli wananikasirisha mimi?
"Ni kweli hawanisumbui?
# Je, si wao wanaojikasirisha? ... ili kwamba aibu iwe juu yao?
"Wanajitaabisha wenyewe kwatabia zao za aibu"
# Tazama
Neno hili linavuta usikivu kwa kile kinachofuata. "Sikiliza kwa makini kwa sababu hili ni la muhimu
# hasira na ghadhabu zangu zitamwagwa mahali hapa
"Nitawadhibu watu wa mahali hapa."
# Hasira na ghadhabu
Maneno haya yana maana moja. Yametumika kusisitiza ukali wa hasira yake
# itawaka
kiwakilishi "i" kietumika kuonesha hasira za BWANA."
# nayo haitazimishwa
"haitazuiliwa kuwaka" au "sitazuiliwa kuwa na hasira"