# Ni kweli wananikasirisha ... wananikasirisha "kweli wananisumbua ... wananisumbua" # Ni kweli wananikasirisha mimi? "Ni kweli hawanisumbui? # Je, si wao wanaojikasirisha? ... ili kwamba aibu iwe juu yao? "Wanajitaabisha wenyewe kwatabia zao za aibu" # Tazama Neno hili linavuta usikivu kwa kile kinachofuata. "Sikiliza kwa makini kwa sababu hili ni la muhimu # hasira na ghadhabu zangu zitamwagwa mahali hapa "Nitawadhibu watu wa mahali hapa." # Hasira na ghadhabu Maneno haya yana maana moja. Yametumika kusisitiza ukali wa hasira yake # itawaka kiwakilishi "i" kietumika kuonesha hasira za BWANA." # nayo haitazimishwa "haitazuiliwa kuwaka" au "sitazuiliwa kuwa na hasira"