sw_tn/ezk/40/01.md

25 lines
572 B
Markdown

# miaka ishirini na tano ... miaka kumi na nne
miaka mitano ... miaka kumi na nne** -
# ya utumwa wetu
Hapa "yetu" inamrejea Ezekieli na Waisraeli ambao walikuwa katika Babeli tangu kipindi Wababeli walipomlazimisha Mfalme Yehoyakini kuondoka Yerusalemu.
# mwanzoni mwa mwaka siku ya kumi ya mwezi
Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ipo katika Mwezi wa nne kwa kalenda za Magharibi.
# mji ulitekwa
"Wababeli waliuteka mji wa yerusalemu"
# mkono wa Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1.
# Akanileta kupumzika
"Akaniweka chini"