# miaka ishirini na tano ... miaka kumi na nne miaka mitano ... miaka kumi na nne** - # ya utumwa wetu Hapa "yetu" inamrejea Ezekieli na Waisraeli ambao walikuwa katika Babeli tangu kipindi Wababeli walipomlazimisha Mfalme Yehoyakini kuondoka Yerusalemu. # mwanzoni mwa mwaka siku ya kumi ya mwezi Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ipo katika Mwezi wa nne kwa kalenda za Magharibi. # mji ulitekwa "Wababeli waliuteka mji wa yerusalemu" # mkono wa Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1. # Akanileta kupumzika "Akaniweka chini"