sw_tn/ezk/40/01.md

572 B

miaka ishirini na tano ... miaka kumi na nne

miaka mitano ... miaka kumi na nne** -

ya utumwa wetu

Hapa "yetu" inamrejea Ezekieli na Waisraeli ambao walikuwa katika Babeli tangu kipindi Wababeli walipomlazimisha Mfalme Yehoyakini kuondoka Yerusalemu.

mwanzoni mwa mwaka siku ya kumi ya mwezi

Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ipo katika Mwezi wa nne kwa kalenda za Magharibi.

mji ulitekwa

"Wababeli waliuteka mji wa yerusalemu"

mkono wa Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1.

Akanileta kupumzika

"Akaniweka chini"