sw_tn/act/26/intro.md

833 B

Matendo 26 Maelezo kwa jumla

Muundo na Mpangilio

Hii ni mara ya tatu kwa kusema habari ya kubadilishwa kwa Paulo. Hii ni kwa sababu hili ni tukio muhimu kwenye Kanisa la awali. Kuna mara tatu ya kusema kubadilishwa kwa Paulo. (Tazama: Matendo 9 na 22)

Paulo alimwelezea Mfalme Agripa kwa nini alikitenda alichokitenda na ya kwamba mkuu wa mkoa asimuadhibu kwa hicho.

Dhana Maalum katika sura hii

Mwanga na giza

Kila mara Biblia huzungumzia watu wasiokuwa waadilifu, watu wasiotenda yanayompendeza Mungu kana kwamba wanatembea gizani. Inazungumzia mwanga kama kinachowawezesha wenye dhambi kuwa waadilifu baada ya kugundua kwamba wanachofanya si kizuri na kumheshimu Mungu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)

<< | >>