sw_tn/act/25/intro.md

927 B

Matendo 25 Maelezo kwa jumla

Dhana maalum katika sura hii

Neema/Msaada maalum

Neno hili limetumika kwa njia mbili katika sura hii. Wakati viongozi Wa Wayahudi walipomwomba Festus neema, walikuwa wanamuomba kuwafanyia kitu maalum ambacho hajazoea kukifanya. Wakati Festus "alitaka kupata neema ya Wayahudi", alitaka wakuwe kama yeye na wakuwe" tayari kumtii miezi na miaka inayokuja. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/favor)

Uraia wa Urumi

Warumi walidhani kwamba ni Warumi pekee yao waliostahili kuhudumiwa kwa haki. Wangewatenda watakavyo wale ambao hawakuwa raia wa Urumi lakini kwa Warumi waliwatendea kufuata sheria. Watu wamoja walizaliwa raia wa Roma na wengine wakalipa pesa serikali ya Warumi ili wawe raia. Wafanyakazi wa serikali wangeadhibiwa kwa kuwatendea raia wa Urumi sawa na wale wasiokuwa raia.

<< | >>