sw_tn/act/27/intro.md

906 B

Matendo 27 Maelezo ya jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Kusafiri Majini

Watu walioishi karibu na bahari walisafiri kutumia boti zilizosukumwa na upepo. Wakati wa kipindi fulani mwakani, upepo ungeelekea mwelekeo usiyofaa hadi ikawa vigumu sana kusafiri majini.

Uaminifu

Paulo alimwamini Mungu kama atamwezesha kusafiri kwa usalam hadi atakapofika inchi kavu. Aliwaambia mabaharia na wanajeshi kuamini pia kwamba Mungu atachunga maisha yao. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/trust)

Paulo anaumega mkate

Luka anatumia maneno karibu kuwa sawa na yale aliyotumia kueleza habari ya karama mwisho wa Yesu pamoja na wanafunzi wake. Alichukua mkate, akashukuru Mungu na kuumega na kula. Hata hivyo tafsiri yako isimfanye msomaji kufikiria kwamba Paulo alikuwa anaongoza sherehe ya kidini.

<< | >>