sw_tn/act/26/01.md

17 lines
437 B
Markdown

# Maelezo anayounganisha
Festo alimpeleka Paulo mbele ya Mfalme Agripa. Kwenye mstari wa pili Paulo anaanza kutoa utetezi wake kwa Mfalme Agripa.
# Alinyoosha mkono wake
"ilinyoosha mkono wake mbele ya makutano ili apate umakini wao"
# Akaweka utetezi wake
Akaakza kujitetea mwenyewe dhidi ya mashitaka"
# ninajina mwenye furaha
Paulo alikuwa na furaha akatumia kuwepo kwake mbele ya Agripa kama nafasi ya kuongea juu ya injili.