# Maelezo anayounganisha Festo alimpeleka Paulo mbele ya Mfalme Agripa. Kwenye mstari wa pili Paulo anaanza kutoa utetezi wake kwa Mfalme Agripa. # Alinyoosha mkono wake "ilinyoosha mkono wake mbele ya makutano ili apate umakini wao" # Akaweka utetezi wake Akaakza kujitetea mwenyewe dhidi ya mashitaka" # ninajina mwenye furaha Paulo alikuwa na furaha akatumia kuwepo kwake mbele ya Agripa kama nafasi ya kuongea juu ya injili.