sw_tn/act/19/15.md

29 lines
755 B
Markdown

# Yesu namjua na Paulo namjua
"Namjua Yesu na Paulo" au "Nimesikia kuhusu Yesu na Paulo"
# lakini ninyi ni nani?
roho aliuliza swali hili kuwathibitishia wapunga mapepo kuwa wao hawakuwa na mamlaka juu ya roho wachafu.
# roho mchafu aliyekuwa ndani ya yule mtu akawarukia.
Hii inamaanisha roho mchafu alimsababisha yule mtu aliyekuwa akiongozwa naye kuwarukia hao wapunga mapepo.
# Wapunga pepo
Linaelezea juu ya watu waliokuwa wakitoa roho chafu kutoka kwa watu au eneo fulani.
# nao walikimbia .............. uchi
Wapunga mapepo walikimbia na kuacha nguo zao. walikimbia uchi.
# Jina la Bwana Yesu liliheshimiwa
Waliliheshimu jina la Yesu ama walilifikiria jina la Bwana Yesu kuwa kuu.
# Jina
Hili linasimama kwa nguvu na mamlaka ya Yesu.