# Yesu namjua na Paulo namjua "Namjua Yesu na Paulo" au "Nimesikia kuhusu Yesu na Paulo" # lakini ninyi ni nani? roho aliuliza swali hili kuwathibitishia wapunga mapepo kuwa wao hawakuwa na mamlaka juu ya roho wachafu. # roho mchafu aliyekuwa ndani ya yule mtu akawarukia. Hii inamaanisha roho mchafu alimsababisha yule mtu aliyekuwa akiongozwa naye kuwarukia hao wapunga mapepo. # Wapunga pepo Linaelezea juu ya watu waliokuwa wakitoa roho chafu kutoka kwa watu au eneo fulani. # nao walikimbia .............. uchi Wapunga mapepo walikimbia na kuacha nguo zao. walikimbia uchi. # Jina la Bwana Yesu liliheshimiwa Waliliheshimu jina la Yesu ama walilifikiria jina la Bwana Yesu kuwa kuu. # Jina Hili linasimama kwa nguvu na mamlaka ya Yesu.