sw_tn/act/12/09.md

41 lines
674 B
Markdown

# Hakujua
"Hakuwa anajua kilichokuwa kinaendelea"
# kilichofanywa na malaika kama ni cha kweli
Tukio la Malaika kwa Petro lilikuwa la kweli.
# Baada ya kupita lindo la kwanza na la pili
Askari hawakuwa na uwezo wa kumwona Petro na malaika wakitembea mpaka kutoka lango la nje.
# walipita
"Waliweza kupita"
# Lindo la pili
"Katika lindo la pili nako wakapita"
# Wakafika
"Walilifikia lango kuu"
# Lililoelekea mjini
"Lilifunguka kutoka gerezani kuelekea mjini"
# likafunguka lenyewe
Si Petro wala Malaika aliyelifungua lango hilo.
# wakashuka kwenye mtaa,
"Wakatembea wakiwa barabarani"
# Malaika akamwacha.
"Mara Malaika akamwacha" au "Ghafla akatoweka"