# Hakujua "Hakuwa anajua kilichokuwa kinaendelea" # kilichofanywa na malaika kama ni cha kweli Tukio la Malaika kwa Petro lilikuwa la kweli. # Baada ya kupita lindo la kwanza na la pili Askari hawakuwa na uwezo wa kumwona Petro na malaika wakitembea mpaka kutoka lango la nje. # walipita "Waliweza kupita" # Lindo la pili "Katika lindo la pili nako wakapita" # Wakafika "Walilifikia lango kuu" # Lililoelekea mjini "Lilifunguka kutoka gerezani kuelekea mjini" # likafunguka lenyewe Si Petro wala Malaika aliyelifungua lango hilo. # wakashuka kwenye mtaa, "Wakatembea wakiwa barabarani" # Malaika akamwacha. "Mara Malaika akamwacha" au "Ghafla akatoweka"